ALICIOUS: FROM CONGO WARLORD'S SURVIVAL TO A BRIGHTER FEMALE ARTIST.
Huu ni wimbo wake mpya tafadhali usipite bila kuangalia video hii.
Huu ni wimbo wake mpya, anathibitisha jinsi gani anaweza
kutumia lugha nyingi katika mziki wake. Mimi binafsi namkubali sana
usiache kuona video yake pia hapa chini