ALICIOUS: FROM CONGO WARLORD'S SURVIVAL TO A BRIGHTER FEMALE ARTIST.
Anaitwa alicious mwenye asili ya kongo wewe unamkubali kiasi gani?
Huu ni wimbo wake mpya tafadhali usipite bila kuangalia video hii.
Huu ni wimbo wake mpya, anathibitisha jinsi gani anaweza
kutumia lugha nyingi katika mziki wake. Mimi binafsi namkubali sana
usiache kuona video yake pia hapa chini