Baraza la mitihani Tanzania(NECTA) imetangaza matokeo ya kidato cha sita 2016, na Kuzitaja shule zilizo fanya vizuri zaidi Kitaifa na zile ambazo hazikufanya vizuri Kitaifa. Ubora wa shule umepagwa kwa kutumia kigezo cha Wastani wa Pointi (Grade Point Average –GPA) ambapo A=1, B=2, C=3, D=4, E=5 na F=7. Aidha, upangaji wa shule zilizofanya vizuri umezingatia shule zenye idadi ya watahiniwa wasiopungua 30 kama ifuatavyoa: ==>Shule 10 Bora Kitaifa
1. Kisimiri (Government)
2. Feza Boys (Private)
3. Mwanza Alliance Girls (Private)
4. Feza Girls (Private)
5. Tabora Boys (Government)
6. Marian Boys (Private)
7. Kibaha (Government)
8. Mzumbe (Government)
9. Ilboru (Government)
10. Tandahimba (Private)
Shule 10 za Mwisho Kitaifa ==>
1.Mpendae (Unguja)
2.Ben bella ( Unguja)
3.Tumekuja (Unguja)
4.Green Bird Boys (Kilimanjaro)
5.Jang'ombe (Unguja )
6.Kiembesamaki (Unguja )
7.Tanzania Adventist ( Arusha )
8.Al-Ihsan Girls ( Unguja )
9.Azania (Dar es salaam )
10: Lumumba (Unguja)
HABARI MPYA
- ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAPA!!
- COMPUTER TRAINING!! COMPUTER TRAINING !!
- DOWNLOAD JOINING INSTRUCTION ZA FORM FIVE2016/2017!!
- LIST OF STUDENTS ADMITTED BY TCU TO JOIN TUMAINI FOR ACADEMIC YEAR 2016/2017 (1st Selection) !!
- SELECTED APPLICANTS TO JOIN SAUT 2016/2017 ACADEMIC YEAR !!
- WALIO CHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO!